FAHAMU KUHUSU FURSA.
Fursa ni nini?
Fursa ni nafasi au uwezekano wakufanya jambo ili kufanikisha kusudi fulani ambalo ni la mafanikio.
Fursa pia ni upungufu wowote unaoonekana katika jamii yako au sehemu yoyote na kuweza kuupatia suluhu yenye tija au maskahi.kutokana na maana hiyo ya fursa nadhani utakuwa umejifunza na kuanza kuchukua hatua.
Toa maoni yako sasa ni kitu gani utakua umejifunza kupitia neno fursa? Andika comment yako.
Comments