STAREHE KWA VIJANA
Mtihani mgumu kabisa kuufaulu kwa vijana ni STAREHE. Hasa kwa vijana wa kiume wanashindwa kucontrol hisia zao na mihemko wanajikuta wanashibisha njaa zao za starehe ambazo ni POMBE na NGONO.vitu hivi huondoa focus yao na kuwapoteza. Self control ni kama bahati kwa kila kijana.